Majina ya waliochaguliwa Kidato Cha Kwanza 2025 Shule ya Sekondari Mwanzi
Mkuu wa Shule ya Sekondari Mwanzi anayofuraha kukupongeza kwakuchaguliwa kujiunga katika shule hii. Shule ya Sekondari Mwanzi ipo umbali wa kilometa 1.5 kutoka kutoka Manyoni Mjini
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza watatakiwa kuripoti shuleni tarehe 13.01.2025